Simba wamtambulisha kocha aliyewahenyesha

DAR ES SALAM; KLABU ya Simba ya Dar es Salaam imemtambulisha Dimitar Pentev raia wa Bulgaria kuwa Meneja Mkuu wa timu hiyo, akitokea Gaborone United ya Botswana alikokuwa Kocha Mkuu.

Simba ilikutana na Gaborone United katika raundi ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu na Simba kusonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1, ambapo mchezo wa kwanza Simba ilishinda bao 0-1 ugenini nchini Botswana, kisha timu hizo kufungana bao 1-1 marudiaano Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button