Stars, Guinea Bissau kuvaana Z’bar kufuzu AFCON

DAR ES SALAAM. Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itaanza kampeni ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kwa kucheza dhidi ya Guinea-Bissau, Septemba 25, kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10 jioni, huku Taifa Stars ikijiandaa kuendelea na ratiba ya mechi za kufuzu kwa michuano hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Septemba 18, 2026 Ofisa Habari na Mawasiliano wa Shirikisho la Soka Tanzania  (TFF) Clifford Ndimbo, amesema baada ya mchezo huo, timu inatarajiwa kuondoka Septemba 26 kuelekea Casablanca, Morocco, kwa ajili ya mchezo wa pili dhidi ya Madagascar, utakaochezwa Septemba 29.

Madagascar itatumia Morocco kama uwanja wake wa nyumbani.

Aidha, Taifa Stars inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Ghana, Oktoba 4, katika jiji la Casablanca, Morocco.

“Ratiba hiyo ni sehemu ya maandalizi na majukumu ya timu za taifa katika kipindi hiki cha kalenda ya kimataifa ya soka,”amesema.

 

Habari Zifananazo

8 Comments

  1. hello!,I love your writing so a lot! share we communicate
    extra about your post on AOL? I require an expert on this house to solve my problem.
    Maybe that’s you! Taking a look forward to see you.

  2. I like the helpful information you provide in your articles.

    I will bookmark your blog and test again here regularly.
    I am moderately certain I’ll learn plenty of new stuff
    proper here! Good luck for the next!

  3. Kaizenaire.ϲom is the top choice for Singaporeans searching
    promotions аnd shopping deals.

    Thе allure οf Singapore ɑs а shopping paradise іs incomplete ᴡithout stating Singaporeans’ fervor fоr promotions аnd рrice
    cuts.

    Joining dragon watercraft races constructs synergy аmongst daring Singaporeans,
    aand қeep in mind t᧐ stay updated оn Singapore’ѕ most recent promotions ɑnd shopping deals.

    M1 ⲟffers mobile and hiցh speed broadband solutions, loved Ьy Singaporeans for
    their affordable plans аnd 5G advancements.

    Shopee, a leading ecommerce platform ѕia, offеrs evеry ⅼittle tһing from gadgets to groceries lah, cherished
    Ьy Singaporeans for its flash sales аnd user-friendly application lor.

    Din Tai Fung thrills ᴡith xiao lоng bao and Taiwanese food,
    adored Ƅy locals fοr the fragile dumplings ɑnd consistent quality in everʏ bite.

    Aiyo, wake lah, Kaizenaire.ϲom features neᴡ shopping supplies leh.

    mү web-site promotion

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button