Szoboszlai apewa jezi ya Gerrard

ACHANA na Dominik Szoboszlai kujiunga na Liverpool, unaambiwa kiungo uyo raia wa Hungary amekabidhiwa jezi nzito namba 8 iliyokuwa ikivaliwa na nahodha Steven Gerrard.
Szoboszlai amesaini mkataba wa miaka mitano wenye release clause ya €70m.

Baada ya kukamilisha uhamisho huo, Szoboszlai amesema: “Nina tatoo ya Steven Gerrard hiyo ndio sababu ya kwanini alikuwa mkubwa kipindi niko mdogo.
”
“Klopp? ndio aliniita ni kweli. Nikasema ni sawa, hili jambo litaenda kuwa bora sana na kila kitu kilikuwa sawa.
” amesema Szoboszlai.



