Taasisi Wizara ya Viwanda zatakiwa kuchochea uanzishaji viwanda

ARUSHA: Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya muhimili mkuu katika ustawi wa uchumi wa Tanzania, ambapo kupitia taasisi zake 13, inabeba jukumu la msingi la kuchochea uanzishaji na uendelezaji wa sekta ya viwanda na biashara, kuzalisha ajira, kuongeza pato la Taifa na kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Katika kuhakikisha dhamira hiyo inatimia, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Waziri Salum, ametoa agizo madhubuti kwa Wakuu wa Taasisi hizo kuondoa urasimu na kuwa wawezeshaji wa sekta binafsi, hatua inayolenga kuifanya nchi kuwa na uchumi shindani wa viwanda unaoendana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Sita.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Waziri Salum, Februari 21, 2026, jijini Arusha wakati akifungua kikao kazi cheke na Wakuu wa Taasisi (zikiwemo NDC, TEMDO, CAMARTEC, TIRDO, SIDO, TBS, BRELA, FCC, WMA, WRRB, FCT, TANTRADE, na CBE). Kikao hicho kimefanyika kwa lengo la kujadili mikakati ya taasisi hizo katika kutekeleza majukumu yao na kufikia malengo ya Serikali ya Awamu ya Sita na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Akizungumza na Wakuu hao, amesema Wizara inategemewa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kuchochea uanzishwaji wa viwanda na biashara kwa kasi na kuweka mazingira rafiki yatakayowezesha kuongeza ajira, kukuza pato la Taifa na kujenga uchumi shindani wa Viwanda.

Vilevile, amesisitiza taasisi hizo kutangaza shughuli na huduma wanazozitoa ili kuwawezesha wananchi kuzifahamu na kuzitumia katika kukuza biashara na uanzishwaji wa viwanda vitakavyoleta tija kitaifa.

Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu, Bw. Aristides Mbwasi, amewasisitiza wakuu hao wa taasisi kuhakikisha wanaondoa changamoto mbalimbali ili kuongeza ufanisi katika sekta hiyo.

Naye, Mwenyekiti wa Wakuu wa Taasisi na Mkurugenzi Mkuu wa TIRDO, Prof. Mkumbukwa Mtambo, pamoja na Wakuu wengine wa Taasisi wamemhakikishia Katibu Mkuu kuwa wako tayari kutekeleza maelekezo hayo na kuahidi kuwa wawezeshaji wakuu kwa wafanyabiashara na kuondoa vikwazo vinavyojitokeza.

Habari Zifananazo

13 Comments

  1. I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
    .
    HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com

    1. Kwa urahisi weka, bila kifo cha Yesu msalabani kwa ajili ya dhambi zetu, hakuna mtu atakaye kuwa na uzima wa milele. Yesu mwenyewe alisema, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia yangu” (Yohana 14: 6) Katika maneno haya, Yesu anasema sababu ya kuzaliwa, kifo na ufufuo wake — kutoa njia ya mbinguni kwa wanadamu wenye dhambi, ambao hawawezi kufika huko peke yao.

  2. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…

    .
    M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com

    1. Kwa urahisi weka, bila kifo cha Yesu msalabani kwa ajili ya dhambi zetu, hakuna mtu atakaye kuwa na uzima wa milele. Yesu mwenyewe alisema, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia yangu” (Yohana 14: 6) Katika maneno haya, Yesu anasema sababu ya kuzaliwa, kifo na ufufuo wake — kutoa njia ya mbinguni kwa wanadamu wenye dhambi, ambao hawawezi kufika huko peke yao.

  3. Google paid $200 a hour on the internet..my close relative has been without labor for nine months and the earlier month her compensation check was $51005 by working at home for 10 hours a day….. E­v­e­r­y­b­o­d­y m­u­s­t t­r­y t­h­i­s j­o­b n­o­w b­y j­u­s­t u­s­e ­t­h­i­s

    GOOD LUCK.:)

    Here is I started_____ ⫸ w­­w­­w­­.t­­o­­d­­a­­y­­.­­e­­a­­r­­n­­5­­4­­.c­­o­­m

    1. Kwa urahisi weka, bila kifo cha Yesu msalabani kwa ajili ya dhambi zetu, hakuna mtu atakaye kuwa na uzima wa milele. Yesu mwenyewe alisema, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia yangu” (Yohana 14: 6) Katika maneno haya, Yesu anasema sababu ya kuzaliwa, kifo na ufufuo wake — kutoa njia ya mbinguni kwa wanadamu wenye dhambi, ambao hawawezi kufika huko peke yao.

  4. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she kaz convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website

    HERE————— http://www.giftpay7.vip

    1. Kwa urahisi weka, bila kifo cha Yesu msalabani kwa ajili ya dhambi zetu, hakuna mtu atakaye kuwa na uzima wa milele. Yesu mwenyewe alisema, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia yangu” (Yohana 14: 6) Katika maneno haya, Yesu anasema sababu ya kuzaliwa, kifo na ufufuo wake — kutoa njia ya mbinguni kwa wanadamu wenye dhambi, ambao hawawezi kufika huko peke yao.

  5. Kwa urahisi weka, bila kifo cha Yesu msalabani kwa ajili ya dhambi zetu, hakuna mtu atakaye kuwa na uzima wa milele. Yesu mwenyewe alisema, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia yangu” (Yohana 14: 6) Katika maneno haya, Yesu anasema sababu ya kuzaliwa, kifo na ufufuo wake — kutoa njia ya mbinguni kwa wanadamu wenye dhambi, ambao hawawezi kufika huko peke yao.

  6. Kwa urahisi weka, bila kifo cha Yesu msalabani kwa ajili ya dhambi zetu, hakuna mtu atakaye kuwa na uzima wa milele. Yesu mwenyewe alisema, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia yangu” (Yohana 14: 6) Katika maneno haya, Yesu anasema sababu ya kuzaliwa, kifo na ufufuo wake — kutoa njia ya mbinguni kwa wanadamu wenye dhambi, ambao hawawezi kufika huko peke yao..

  7. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website……….

    HERE→→→→→→→→→→→ http://Www.Work27.Info

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button