Tamasha la Ligae kufanyika Agosti.

DAR-ES-SALAAM: Waziri wa utamaduni sanaaa na michezo Damas Ndumbaro kufungua  unguzi tamasha kubwa la Ligae award 2024 jijini Dar es Salaam linalotarajiwa kufanyika  Agosti mwaka huu.

Mratibu wa Tamasha hilo Mohammed Chande amesema kuwa tamasha litafanyika Agosti 9, naya tuzo 45 zinatarajiwa kutolewa katika Katalogi mbalimbali.

SOMA: Mtanzania atikisa tuzo za AKMA 2022

Advertisement