Timu ya Taifa ya Shule za Tanzania imeibuka mabingwa katika kundi la wavulana katika Mashindano ya Mpira wa Miguu ya Shule za Afrika ya CAF 2024, Kanda ya CECAFA, wakimaliza ikimaliza kinara wa kundi.
Katika mechi ya mwisho leo imeifunga timu ya shule za Rwanda mabao 2-0 kwenye uwanja wa St. Mary's-Kitende, Kampala, Uganda.