Home/Siasa/Diplomasia/Tanzania, Saudi Arabia kukabiliana na uhalifu Tanzania, Saudi Arabia kukabiliana na uhalifu Mwandishi WetuSeptember 21, 2024 Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Telegram Sambaza kupitia barua pepe SERIKALI ya Tanzania imeingia makubaliano na Serikali ya Saudi Arabia katika masuala yanayohusu kukabiliana na uhalifu kwa ujumla ikiwemo uhalifu wa mitandaoni na majanga mbalimbali kama moto, ajali za barabarani na majini. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni amebainisha hayo akiwa nchini Saudi Arabia baada ya kusaini hati ya makubaliano kwa upande wa Serikali ya Tanzania huku upande wa Serikali ya Saudia ikisainiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwanamfalme Abdul Aziz Bin Saud Al Saudi. Mwandishi WetuSeptember 21, 2024 Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Telegram Sambaza kupitia barua pepe Sambaza Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Telegram Sambaza kupitia barua pepe Print