Tanzania U12 wasichana yaendeleza ‘ubaya ubwela’

BEIJING: Timu ya taifa ya wasichana chini ya miaka 12 imeendelea kushusha vichapo katika michuano ya U12 Female Universal Youth inayofanyika China baada ya kuichapa Shantou FA mabao 5-0. Mchezo huo umefanyika kwenye uwanja wa kituo cha vijana cha Dingnan.