Tanzania U12 wasichana yafanya mauaji China

Timu ya taifa mpira wa miguu ya wasichana chini ya miaka 12 imeshusha kipigo kikatili baada ya kuibamiza Dream City mabao 10-0. Imefanya mauaji hayo katika michuano ya Kombe la Universal Female Youth inayofanyika mji wa Dingnan, China.