Tanzania yajumuika mjadala wa AI duniani

RIYADH: Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Hassan Abbasi akifuatilia mjadala wa matumizi ya akili mnemba (Artificial Inteligence) katika Sekta ya Utalii kwenye Mkutano wa 26 wa Baraza Kuu la Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) Novemba 10, 2025, jijini Riyadh, Saudi Arabia.

Mkutano huo umejadili na kukubaliana namna ambavyo AI inaweza kutumika kusaidia kukuza sekta ya utalii duniani. Mkutano huo unatarajiwa kufungwa leo Novemba 11, 2025.

SOMA ZAIDI

Mawakala 120 Marekani wavutiwa utalii Tanzania

Habari Zifananazo

2 Comments

  1. I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
    .
    HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

  2. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
    .
    M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us →→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button