Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk Charles Mahera(katikati) anashiriki mkutano wa Kimataifa wa Lishe ya Mtoto unaofanyika jijini Osaka, Japan.
Mkutano huo umewakutanisha viongozi na washirika mbalimbali kubadilishana uzoefu juu ya program mbalimbali za chakula na lishe kwa watoto shuleni.(Picha na WyEST)