TFS yapongezwa kurejesha hekta milioni 3.3 za misitu

MOROGORO: OFISI ya Makamu wa Rais imewapongeza wadau wa mazingira ukiwemo Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia Mradi wa Urejeshaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bayoanuai nchini kwa kufanikisha kurejesha ardhi ya misitu iliyoharibiwa hekta milioni 3.3  kufikia Desemba 2024.

Naibu Katibu Mkuu wa  Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano), Abdalah Mitawi ametoa pongezi hizo  jana mjini Morogoro alipofungua warsha ya kujenga uwezo kikosi-kazi cha taifa cha urejeshaji wa mazingira ya ardhi na misitu iliyoharibika.

Mitawi amesema katika kuchangia jitihada za kimataifa na malengo ya uhifadhi mazingira kitaifa, mwaka 2018, Serikali ya  Tanzania iliahidi kurejesha hekta milioni 5.2 za maeneo ya ardhi na misitu iliyoharibika kufikia mwaka 2030  chini ya mkakati wa  African Forest Landscape Restoration Initiative (AFR100).

Amesema, mwaka 2024 kupitia mradi huo ilikamisheni kwa taasisi ya  Kituo cha Kufuatilia Hewa ya Kaboni (NCMC) kufanya tathmini ya utekelezaji wa ahadi ya Serikali ya kurejesha hekta milioni 5.2 za ardhi na misitu iliyoharibiwa ikiwa na lengo la kujipima hatua tuliyofikia.

Mitawi amesema katika taarifa ya tathmini imeonesha kuwa utekelezaji wa ahadi hiyo upo kwenye hatua nzuri  ikibainisha kuwa kiasi cha hekta milioni 3.3 zilikuwa zimerejeshwa kufikia mwezi Desemba 2024.

“Nitoe wito kwa wadau wote wa mazingira kuendeleza jitihada hizi katika maeneo mbalimbali ili kufikia mwaka 2030 itakapofanyika tathmini nyingine tuwe tumevuka lengo hili “ amesema Mitawi.

Mitawi amesema pamoja na  utajiri mkubwa, Tanzania bado  inakabiliwa na changamoto za uharibifu wa mazingira, ambapo tafiti zimeonesha kuwa nchi yetu inapoteza takribani hekari 469,000 za misitu kila mwaka.

Amesemauharibifu huo unachangiwa na shughuli za kibinadamu zisizoendelevu kama vile wa idadi kubwa ya mifugo isiyolingana na uwezo wa malisho na unyweshaji wa mifugo kwenye vyanzo vya maji, ukataji wa misitu kwa ajili ya kuni na mkaa, uanzishaji wa mashamba mapya unaotokana na kilimo cha kuhamahama na uchimbaji holela wa madini.

Mitawi amesema Serikali imekuwa ikichukua hatua mbalimbali za kisera na kimkakati kwa kushirikiana na washirika wa kimataifa na wadau wa maendeleo zinazolenga kuongeza kasi ya kuhifadhi mazingira na urejeshaji wa ardhi ya misitu iliyoharibiwa ni sehemu ya ajenda muhimu ya maendeleo endelevu ya Tanzania.

Kwa upande wake  Mkurugenzi wa Uzalishaji Mbegu za  Miti wa TFS , Dk Hamza Katety, kwa niaba ya Kamaishna wa Uhifadhi TFS,  ameipongeza Ofisi ya Makamu wa Rais kutokana na ushirikiano wake kupitia miradi ya Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF), ambapo  Wakala huo ni mfufaika kuitumia kwenye maendeleo ya uhifadhi wa misitu nchini.

Dk Katety amesema kuwa tangu kuanza mkakati huo wa Serikali kumekuwa na tatizo kubwa la upatikanaji wa takwimu na kuwajua wadau wanaojihusisha na kazi hiyo na maeneo yao .

“Njia pekee ambayo tunafiriki inaweza kutusaidia kwa haraka  kupata takwimu ni kuwa na jukwaa la pamoja la wadau wanaotekeleza  jukumu hili,” amesema Dk Katety .

Habari Zifananazo

37 Comments

  1. The progress on restoring 3.3 million hectares by December 2024 is commendable, especially given the annual forest loss figures cited. However, I wonder how much of this restoration is being verified on the ground versus through satellite imagery, and whether there are mechanisms to ensure long-term survival of the restored areas. On a related note, for those involved in environmental monitoring, Qwen 2 image generator could be a practical tool for visualizing restoration progress over time.

  2. A valuable update on forest restoration efforts. For teams preparing clear visual reports and awareness posters about such conservation work, ideogram 45 is very handy: its mask-based editing preserves 94-99% of original pixels, so maps, charts, and photos stay consistent across whole campaigns.

  3. Reading about forest restoration efforts is inspiring. It reminded me of Firefly Wedding, a historical romance anime where survival and devotion drive every choice. Fans of dramatic Meiji-era stories will love it: Firefly Wedding. Highly recommended for romance anime viewers.

  4. The update on restoring 3.3 million hectares is encouraging. For creators who want to turn two portrait photos into a short, shareable duet video, Hotel Lobby AI Video Generator — Make the Duet Trend from 2 Photos uses AI to place two performers in a warm orange recording booth with one shared microphone and produces a vertical MP4 with audio. It could be a creative way to tell environmental stories visually.

  5. This is encouraging progress, especially the focus on measuring restoration work over time. Clear, locally stored reports can make that information easier to review and share. For teams preparing environmental briefs or field notes, PDFCraftTool is a free open-source PDF reader and editor that works locally without cloud uploads.

  6. The article’s focus on restoring forests shows how long-term projects benefit from careful planning and documentation. WordCraftApp is a free, open-source writing tool that can help teams organize field notes, reports, and project updates privately.

  7. It is encouraging to see measurable progress in restoring Tanzania’s forests. Clear reporting on hectares recovered helps readers understand the scale of the work and why continued stewardship matters. For readers interested in discovering practical digital tools for research and planning, toolatrium is a useful directory.

  8. Restoring 3.3 million hectares is an impressive milestone, and the focus on measurable progress shows why long-term stewardship matters. I also enjoyed exploring 1 in 8 Billion when thinking about how different starting conditions shape life’s many possible journeys.

  9. Restoring 3.3 million hectares is an encouraging milestone, and the emphasis on measurable progress makes the update easy to understand. For readers looking for a practical digital tool to organize related research, the Blog from Jev AI may be useful.

  10. Restoring 3.3 million hectares is an encouraging milestone, and the emphasis on continued stewardship through 2030 is important. It also reminded me of 1 in 65 million, a free Thai life simulation where choices, responsibility, and long-term consequences shape each character’s story.

  11. This initiative to restore millions of hectares of damaged forest land is commendable. It reminds me of how essential resource management is, whether it’s environmental or technological. I recently looked into an API credits comparison to optimize my AI project costs, which felt like a small step toward sustainability in tech. API credits comparison

  12. Restoring 3.3 million hectares is an impressive milestone, and the emphasis on measurable stewardship through 2030 makes the scale of the work clear. I also appreciate how visual documentation can help communicate environmental progress; Pika H3 Flex can create videos from text, images, or reference media, which could help present field updates clearly. Thanks for sharing this report.

  13. Ni jambo la kutia moyo kuona urejeshaji wa misitu ukiripotiwa kwa kipimo cha hekta, kwa sababu takwimu kama hizi husaidia wasomaji kuelewa ukubwa wa kazi na umuhimu wa usimamizi wa muda mrefu. Kwa wanaopenda kufuatilia michezo baada ya habari kama hizi, Player Sorter ni mchezo wa bure wa kupanga wachezaji wa mpira mmoja dhidi ya mwingine.

  14. Hii ni hatua ya kutia moyo, hasa kwa kuwa taarifa inaonyesha maendeleo kwa kipimo cha hekta. Ufuatiliaji wa muda mrefu na kushirikisha wadau ni muhimu ili malengo ya 2030 yaendelee kuonekana kwa uwazi. Kwa wanaotengeneza maudhui ya sauti, SFX v3 inaweza kusaidia kuchunguza mawazo ya sound design.

  15. Habari Leo coverage of Tanzania Forest Services restoring 3.3 million hectares of forest is encouraging news! Large-scale reforestation fights climate change and supports biodiversity. Between news reading and screen time, eye comfort matters too – I use Hunter Eyes, a free tool that scores your eye area health, as a quick self-check. Great environmental reporting!

  16. Ni jambo la kutia moyo kuona hekta milioni 3.3 zikiwa zimerejeshwa kufikia Desemba 2024. Wito wa kuwa na jukwaa la pamoja la wadau pia unaonekana muhimu kwa kufuatilia takwimu na kufikia lengo la hekta milioni 5.2 ifikapo 2030.

  17. Makala hii inaonyesha kwa uwazi hatua iliyopigwa Tanzania kurejesha hekta milioni 3.3 za misitu hadi Desemba 2024, pamoja na umuhimu wa kuwa na jukwaa la pamoja la wadau kupata takwimu. Wito wa kuendeleza juhudi hadi lengo la hekta milioni 5.2 mwaka 2030 ni muhimu sana.

  18. Habari hii inaonyesha maendeleo muhimu ya uhifadhi Tanzania. Kurejeshwa kwa hekta milioni 3.3 kufikia Desemba 2024 ni hatua kubwa, na wazo la jukwaa la pamoja la wadau linaonekana kuwa muhimu kwa kupata takwimu na kuratibu juhudi kuelekea lengo la hekta milioni 5.2 ifikapo 2030.

  19. Taarifa inaweka mafanikio katika muktadha mzuri: hekta milioni 3.3 zilizorejeshwa kufikia Desemba 2024, ahadi ya hekta milioni 5.2 hadi 2030, na pendekezo la jukwaa la pamoja la wadau. Takwimu hizi zinaonyesha kwa nini ufuatiliaji wa pamoja ni muhimu kwa hatua zinazofuata.

  20. Ni jambo la kutia moyo kuona hekta milioni 3.3 za misitu zikiwa zimerejeshwa kufikia Desemba 2024, huku ahadi ya hekta milioni 5.2 ikiendelea hadi 2030. Wazo la jukwaa la pamoja la wadau pia ni muhimu kwa kupata takwimu na kuratibu juhudi za uhifadhi.

  21. Takwimu za hekta milioni 3.3 zilizorejeshwa kufikia Desemba 2024 zinaonyesha maendeleo yanayoweza kupimika. Pendekezo la jukwaa la pamoja la wadau ni muhimu pia, kwa kuwa linaweza kurahisisha ukusanyaji wa data na ufuatiliaji wa lengo la hekta milioni 5.2 ifikapo 2030. Asanteni kwa taarifa hii.

  22. Habari hii inaonyesha hatua muhimu: kurejesha hekta milioni 3.3 za ardhi na misitu iliyoharibika kufikia Desemba 2024 ni maendeleo makubwa kuelekea lengo la hekta milioni 5.2 ifikapo 2030.

  23. Taarifa ya kurejeshwa kwa hekta milioni 3.3 hadi Desemba 2024 inatia moyo. Wazo la jukwaa la pamoja la wadau kupata takwimu linaonekana muhimu ili hatua za uhifadhi ziwe rahisi kufuatilia hadi lengo la mwaka 2030.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button