“Usiseme huwezi kutengeneza shepu, pesa unayo?”- Irene Paul

DAR ES SALAAM: NYOTA wa ‘Bongo Movie’ Irene Paul amesema kuwa mtu anayesema hawezi kutengeneza shepu hana pesa ukiwanazo utatengeneza tu.

Akizungumza na HabariLEO, jijini Dar es Salaam, Irene amesema kuwa unaesema huwezi tengeneza shepu huna kama unazo milion zako 20 unatengeneza vizuri sana.

“Wanaosema hawataki kutengeneza shepu hawana pesa kama mtu unazo unatengeneza napenda sana alivyotengeneza Tanasha Donna (Msanii kutoka nchini Kenya) amependeza shepu inaendana na mguu sio wengine wanatengeneza shepu hilo miguu membamba kwangu Tanasha kupendeza mno.” Amesema Irene Paul

Habari Zifananazo

3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button