Utiaji saini Mkataba wa Makubaliano

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Dk Lazarus  Chakwera wakati wakishuhudia utiaji saini Mkataba wa Makubaliano (MoU),  kati ya Tanzania na Malawi kuhusiana na ushirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), baada ya mazungumzo yao Lilongwe, Malawi Julai 7, 2023.

Aliyeketi (kulia) ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape  Nnauye wakisaini mkataba huo pamoja na Waziri wa Habari na TEHAMA wa Malawi Moses Kunkuyu Kalongashwa aliyekueti (kushoto).

Advertisement

10 comments

Comments are closed.