Uzi ya mpya Yanga hatari

YANGA SC imezindua jezi rasmi zitakazotumika katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Ligi hiyo itaanza wikiendi hii kwa michezo kadhaa, Yanga itaanza kampeni yake kundi D dhidi ya CR Belouizdad uwanja wa Stade Du 5 Julliet Ijumaa hii.


Yanga imezindua jezi tatu, za nyumbani, ugenini na chaguo la tatu zote zitatumika katika michuano hiyo.

Katika kundi D, Yanga itacheza na Medeama ya Ghana, CR Belouizdad ya Algeria na Al-Ahly Misri.

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button