MAREKANI: Rais wa zamani wa Marekani ambaye ni mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump amemtangaza Seneta wa Ohio JD Vance kuwa mgombea mwenza, ambaye amepitishwa na wajumbe wa Republican mapema wiki hii.
Soma: Trump atangaza nia kurudi Ikulu Washington
JD Vance ni mjasiriamali aliyeelimika na mwandishi wa riwaya ya kumbukumbu ya maisha yake ya Hillbilly Elegy iliyokuwa na mauzo mazuri ambayo iligeuzwa kuwa filamu.
Imeandaliwa kwa msaada wa mtandao
View this post on Instagram