Vijana Kagera wapewa elimu mikopo ya halmashauri

KAGERA: Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM, (UV CCM) mkoani Kagera imezindua kampeini ijulikanayo kama Vijana Daka Fursa na Samia maarufu kama VIDAFUSA ambayo imeenda sambamba na utaoji wa elimu ya namna bora ya kutumia mkopo wa asilimia 10 unaotolewa na halmshauri kwa makundi maalumu.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema zaidi ya Sh bilioni 1 zimetolewa kupitia mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri, hatua iliyochochea kuinuka kwa vijana kiuchumi katika mkoa huo.

Akizungumza na waandishi wa habari Buruhani alisema utekelezaji wa kampeini maalum ya Vijana Daka Fursa na Samia, iliyofanyika katika halmashauri zote nane za Mkoa wa Kagera kwa lengo la kuhamasisha vijana kutumia fursa zinazotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan umefanikiwa navijana ambao tayari wamepata fedha hizo na ambao hawajapata wamefikiwa na elimu hiyo.

Amesema kuwa kampeini hiyo kupitia , UVCCM imetoa elimu kwa vijana kuhusu namna ya kuunda vikundi vya uzalishaji mali, kuandaa maandiko ya miradi yenye tija na kufuata taratibu sahihi za kuomba mikopo ya asilimia 10 inayotengwa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu.

Kwa mujibu wa Buruhani, jumla ya vikundi 59 vya vijana vimefanikiwa kunufaika na mikopo hiyo, fedha ambazo zimewekezwa katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo, uvuvi, biashara ndogo ndogo na utoaji wa huduma.

Amesema vijana wengi wanapaswa kujengewa uwezo wa kujitegemea.
Amesisitiza kuwa bado kuna haja ya kuongeza elimu kwa vijana kuhusu fursa zilizopo ili kuhakikisha hakuna anayekosa mikopo hiyo kutokana na ukosefu wa taarifa au urasimu usio wa lazima.

Aidha, amewataka Maafisa Maendeleo katika halmashauri zote kutoka maofisini na kuwafikia vijana moja kwa moja, ili kuwasaidia kuandaa miradi bora na kusimamia ipasavyo mikopo wanayoipata.

Amesema kuwa UVCCM itaendelea kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa mikopo hiyo ili kuhakikisha inarejeshwa kwa wakati na kuwafikia vijana wengi zaidi, akisisitiza kuwa vijana wa Kagera wana uwezo wa kuwa chachu ya maendeleo ya uchumi wa mkoa na taifa kwa ujumla.

Habari Zifananazo

4 Comments

  1. ### 📢 TANGAZO LA AJIRA

    **Nafasi: Mhariri wa Kitabu cha Kumbukumbu na Kusifia Vizazi**

    Tunatafuta **Mhariri wa Kitabu** mwenye ubunifu, ujuzi wa lugha na uzoefu wa uandishi wa kazi za kifamilia au kumbukumbu za kihistoria, kwa ajili ya kuhariri kitabu kinachosimulia na kusifia vizazi vya familia, mchango wao, mafanikio yao, na maadili yao.

    #### 📌 Majukumu:

    * Kuhariri na kuboresha maandishi ya kitabu kwa lugha fasaha na yenye mvuto
    * Kupanga muundo wa kitabu (sura, vichwa, mpangilio wa matukio)
    * Kusahihisha makosa ya kisarufi na mtiririko wa hoja
    * Kushirikiana na mwandishi au familia kuhakikisha ujumbe unawasilishwa kwa heshima na ukweli
    * Kupendekeza maboresho ya mtindo na maudhui

    #### 🎓 Sifa za Mwombaji:

    * Elimu ya juu katika Fasihi, Uandishi wa Habari, Lugha au fani inayohusiana
    * Uzoefu wa kuhariri vitabu, hasa vya kumbukumbu au wasifu
    * Uwezo mzuri wa uandishi wa Kiswahili fasaha (na Kiingereza ni ziada)
    * Uwezo wa kuheshimu mila, tamaduni na historia ya kifamilia
    * Umakini wa hali ya juu kwa undani wa maudhui

    #### 🕒 Aina ya Kazi:

    * Kazi ya muda (contract) hadi kukamilika kwa mradi

    #### 📍 Namna ya Kutuma Maombi:

    Tuma wasifu wako (CV), barua ya maombi, na sampuli ya kazi ulizowahi kuhariri kwenda:
    📧 barua pepe: [Yati@email.com](mailto:Yati@email.com)
    Mwisho wa kutuma maombi: (5/3/2026)

  2. ## 📢 TANGAZO LA AJIRA

    ### Nafasi: Editor wa Kitabu cha Jamii

    **Kampuni: Yati Company Ltd**

    **Mahali:** Dar es Salaam, Tanzania
    **Aina ya Ajira:** Mkataba wa mwaka 1 (unaoweza kuongezwa)
    **Tarehe ya Mwisho wa Kutuma Maombi:** 30 Machi 2026

    ### 📝 Majukumu ya Kazi:

    * Kuhariri na kusahihisha maandiko ya kitabu cha jamii kwa usahihi wa lugha na mtiririko mzuri.
    * Kushirikiana na waandishi, wachapishaji na wabunifu wa maudhui.
    * Kuhakikisha maudhui yanazingatia maadili, utamaduni na malengo ya kampuni.
    * Kupanga ratiba ya uhariri na kuhakikisha kazi inakamilika kwa wakati.
    * Kufanya utafiti wa ziada inapohitajika ili kuboresha ubora wa maudhui.

    ### 🎓 Sifa za Mwombaji:

    * Shahada ya Uandishi wa Habari, Fasihi, Mawasiliano au taaluma inayohusiana.
    * Uzoefu wa angalau miaka 2 katika uhariri wa vitabu au maudhui ya jamii.
    * Uwezo mzuri wa Kiswahili fasaha (na Kiingereza ni ziada).
    * Uwezo wa kutumia programu za uhariri kama Microsoft Word na Google Docs.
    * Umakini mkubwa kwa maelezo na uwezo wa kufanya kazi chini ya shinikizo.

    ### 📩 Jinsi ya Kutuma Maombi:

    Tuma barua ya maombi, wasifu (CV), na sampuli ya kazi zako za uhariri kupitia barua pepe:
    📧 **[hr@yati.co.tz](mailto:hr@yati.co.tz)**
    Au fika ofisi za Yati Company Ltd, Dar es Salaam.

    **Yati Company Ltd ni mwajiri anayetoa fursa sawa kwa wote. Wanawake na vijana wanahimizwa kuomba.**

  3. ## 📢 TANGAZO LA AJIRA

    —.

  4. ### 📢 TANGAZO LA AJIRA

    **Nafasi: Mhariri wa Kitabu cha Kumbukumbu na Kusifia Vizazi**

    Tunatafuta **Mhariri wa Kitabu** mwenye ubunifu, ujuzi wa lugha na uzoefu wa uandishi wa kazi za kifamilia au kumbukumbu za kihistoria, kwa ajili ya kuhariri kitabu kinachosimulia na kusifia vizazi vya familia, mchango wao, mafanikio yao, na maadili yao.

    #### 📌 Majukumu:

    * Kuhariri na kuboresha maandishi ya kitabu kwa lugha fasaha na yenye mvuto
    * Kupanga muundo wa kitabu (sura, vichwa, mpangilio wa matukio)
    * Kusahihisha makosa ya kisarufi na mtiririko wa hoja
    * Kushirikiana na mwandishi au familia kuhakikisha ujumbe unawasilishwa kwa heshima na ukweli
    * Kupendekeza maboresho ya mtindo na maudhui

    #### 🎓 Sifa za Mwombaji:

    * Elimu ya juu katika Fasihi, Uandishi wa Habari, Lugha au fani inayohusiana
    * Uzoefu wa kuhariri vitabu, hasa vya kumbukumbu au wasifu
    * Uwezo mzuri wa uandishi wa Kiswahili fasaha (na Kiingereza ni ziada)
    * Uwezo wa kuheshimu mila, tamaduni na historia ya kifamilia
    * Umakini wa hali ya juu kwa undani wa maudhui

    #### 🕒 Aina ya Kazi:

    * Kazi ya muda (contract) hadi kukamilika kwa mradi

    #### 📍 Namna ya Kutuma Maombi:

    Tuma wasifu wako (CV), barua ya maombi, na sampuli ya kazi ulizowahi kuhariri kwenda:
    📧 barua pepe: [Yati@email.com](mailto:Yati@email.com)
    Mwisho wa kutuma maombi: (5/3/2026)

    —.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button