Vijana watakiwa kuitunza amani

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kuendelea kuitunza amani ya Tanzania na kwamba wasikubali kuiharibu nchi yao.

Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akitoa hotuba ya kufungua bunge la 13 bungeni jijini Dodoma mapema leo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button