Vikosi vya ulinzi Tripol vyakubali kuondoka

VIKOSI ambavyo vimekuwa vikidhibiti Tripoli kwa zaidi ya muongo mmoja vimekubali kuondoka katika mji mkuu wa Libya.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Imad baada ya mazungumzo ya muda mrefu makubaliano yamefikiwa kwa vikosi vya kawaida vya polisi kwa Tripoli.

Trabelsi alisema kuanzia sasa na kuendelea serikali ya Libya itawatumia katika mazingira ya kipekee kwa misheni maalum.

Alisema mara tu watakapoondoka katika mji mkuu miji mingine itafuata, akibainisha kuwa “hakutakuwa na vituo vya ukaguzi na vikundi vyenye silaha barabarani”.

Wanamgambo wanaozungumziwa ni Jeshi la Usalama Mkuu, Kikosi Maalum cha Kuzuia Ghasia, Brigedia 444, Brigedia 111 na Mamlaka ya Kusaidia Utulivu.

Habari Zifananazo

Back to top button