DAR ES SALAAM; Simba jana ilianza kumtumia mchezaji wake mpya iliyemsajili kwenye dirisha hili dogo la usajili, Elie Mpanzu wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Kagera Sugar na Simba uliofanyika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Vipi kwa dakika alizocheza mali ipo mguuni au tumpe muda? Simba ilishinda mabao 2-5. (Picha kwa hisani ya Simba.)