Wadau utalii watakiwa kutoa huduma za viwango

WADAU wanaohusika na utalii nchini wametakiwa kutoa huduma za viwango ili kuwafanya watalii kuwa mabalozi baada ya kuja Tanzania na kurudi kwenye nchi zao.

buy nizoral online http://itmonline.org/image/sidebars/sidebar1/gif/nizoral.html no prescription pharmacy

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Damas Mfugale amesema hayo.

Mfugale amesema ” unaweza ukatangaza vivutio vya utalii wakaja nchini, lakini baada ya kuja uzoefu unaweza ukawa sio mzuri, ikawa hawawezi kurudi tena,”.

buy levofloxacin online http://itmonline.org/image/sidebars/sidebar1/gif/levofloxacin.html no prescription pharmacy

Amesisitiza kuwa wanaotoa huduma waongeze viwango ili watalii waweze kurudi wawe mabalozi wazuri.

buy arava online http://itmonline.org/image/sidebars/sidebar1/gif/arava.html no prescription pharmacy

Habari Zifananazo

Back to top button