Wafanyabiashara China kuwekeza Kigoma

SERIKALI ya China imesema kuwa inaangalia fursa za uwekezaji kwenye nyanja ya kilimo na viwanda iliyopo mkoani Kigoma ili kuwezesha wafanyabiashara kutoka China kuwekeza Kigoma kutokana na fursa ya uwekezaji iliyopo mkoani Kigoma.

Balozi wa China nchini Tanzania,Chen Mingjian alisema hayo alipokutana na Mkuu wa Mkoa Kigoma, Thobias Andengenye ofisini kwake na kusema kuwa amevutiwa na hali ya hewa ya Kigoma ambayo inaonekana kuwa na tija kubwa katika suala la kilimo ambapo mazao ya aina mbalimbali yanastawi.

Alisema kuwa mpango huo unalenga kuimarisha uhusiano wa kindugu uliopo baina ya China na Tanzania ulioanzishwa na waasisi wa mataifa hayo Mwalim Julius Kambarage Nyerere wa Tanzania na Mao Ze Dong wa China ambao umefanya nchi hizo kushirikiana kwa karibu kwenye mambo mbalimbali.

Andengenye alimwambia Balozi Chen kuwa Mkoa wa Kigoma kwa sasa serikali unaufanya kama mkoa kimkakati katika kukuza uchumi hasa kutumia soko lililopo nchi za maziwa makuu hiyo kwa sasa mkoa unakaribisha wawekezaji wakubwa na wadogo kuona namna wanavyoweza kutumia fursa hiyo kuwekeza kwenye sekta mbalimbali.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Royal
1 month ago

Making every month extra dollars by doing an easy job Online. Last month i have earned and received $18539 from this home based job just by giving this only mine 2 hrs a day. Easy to do work even a child can get this and start making money Online. Get this today by. follow instructions on this website…….. http://Www.SmartCash1.com

KathleenCalvert
KathleenCalvert
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by KathleenCalvert
Julia
Julia
1 month ago

Making every month extra dollars by doing an easy job Online. Last month i have earned and received $18,000 from this home based job just by giving this only mine 2 hrs a day. Easy to do work even a child can get this and start making money Online.
.
.
Detail Here————————————————————>>>  http://Www.BizWork1.Com

Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x