Wafanyakazi Z’bar waongezewa nauli Sh 50,000

PEMBA; RAIS  wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wataongezewa posho ya sh 50,000 ya nauli,ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa ajili ya nauli za kwenda kazini na kurudi nyumbani.

Amesema  Sh bilioni 34 zimetengwa na Serikali kwa ajili ya posho ya usafiri kwa watumishi wote wanaostahiki kulipwa posho.

buy lasix online https://visualhealth.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/lasix.html no prescription pharmacy

Rais Mwinyi amesema hayo katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Uwanja wa Gombani, Mkoa wa Kusini Pemba Mei 1, 2024.

Aidha Rais Mwinyi amesema Serikali imejipanga kutengeneza ajira 300,000 kwa wananchi wake kwa mujibu wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025.

Amesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu Serikali kupitia shughuli utekelezaji wa miradi ya maendeleo ajira mpya zipatazo 187,651 zimepatikana sawa na asilimia 104 ya lengo la ajira 180,000 kwa miaka mitatu iliyopita.

buy cellcept online https://visualhealth.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/cellcept.html no prescription pharmacy

Kwa upande mwingine amesema Serikali imedhamiria kuhakikisha inaongeza fedha kwa ajili ya posho ya likizo , zikiwa zimetengwa shilingi bilioni 2.

buy periactin online https://visualhealth.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/periactin.html no prescription pharmacy

5 katika bajeti mpya ya mwaka 2024/25.

Habari Zifananazo

Back to top button