Wahimizwa kusoma taarifa vituo vya kupiga kura

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wananchi wote kusoma taarifa zilizobandikwa katika kila kituo cha kupiga kura ili kutambua mapema vituo vya kupigia kura na kuona mfano wa karatasi ya kura.
Jumla ya wapiga kura 80,910 wamejiandikisha kupiga kura kwenye vituo vya kupiga kura 206 vya jimbo la Babati mkoani Manyara katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.
Akitangaza tangazo la uchaguzi Oktoba 21, 2025 msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Babati Mjini, Simon Numbee amebainisha kwa wanahabari kwambavituo vilivyotumika kuandikisha wapiga kura ndivyo vitakavyotumika kupiga kura ambavyo vitafunguliwa saa 1 asubuhi na kufungwa saa 12 jioni.
”Vituo vya kupiga kura vya Magereza vitafunguliwa saa 2 asubuhi na kufungwa saa 9 kamili Alasiri,”amesema Numbee.
Aidha, kwa mpiga kura aliyepoteza kadi yake na ambaye aliandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura ataruhusiwa kupiga kura kwenye kituo alichopangiwa akiwa na leseni ya udereva, hati ya kusafiria au kutambilisho cha NIDA.
Lakini pia majina ya kitambulisho mbadala atakachowasilisha ambacho majina yanapaswa kufanana na yaliyomo katika daftari la kudumu la mpiga kura.
Kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025 ni lazima mpiga kura afike kituoni akiwa na kadi yake ya mpiga kura.
I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→ http://Www.Payathome9.Com
Real and simple method for all to use and do some surfing over internet and start making more than $17k every single month from home. i have made and received recently $16829 from this job and i do only 1 or 2 hours a day on my mobile. yeah its that much simple even work onl mobile in your part time. get this right now and start making income from home just by follow instructions here.
More Details For Us→→ http://www.job40.media