Wamesema!

DAR ES SALAAM: Dar Derby imemalizika kibabe Yanga wameendeleza ubabe dhidi ya Azam Fc.

Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 3-2, magoli ya Yanga yakiwekwa nyavuni na Stephan Aziz Ki wakati magoli ya Azam yakifungwa na Gibril Sillah pamoja na Prince Dube.

Baada ya matokeo hayo Yanga wamefikisha alama 15 sawia na Simba wenye mchezo mmoja pungufu, huku Azam Fc ikisalia na alama 13 ikishuka hadi nafasi ya tatu.

Advertisement

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *