Wanafunzi 18 watua Korea kimasomo

DAR ES SALAAM :ZAIDI ya wanafunzi wa Kitanzania 18 wamepelekwa nchini korea kwa ajili ya masomo ikiwa ni matokeo ya uhusiano mzuri baina ya tanzania na korea ambao umedumu kwa miaka mingi

Wakizungumza jijini Dar es Salaam katika Chuo cha United African University Of Tanzania (UAUT)mradi wa elimu ambao ni matokeo ya uwekezaji wa nchi ya Korea Makamu Mkuu wa Chuo cha United Africa University of Tanzania (UAUT) Sungsoo Kim pamoja na Profesa Thiery Noudui makamu msaidizi wa Chuo Kikuu cha United Africa University of Tanzania wamesema hatua ya kuwapeleka watanzania katika vyuo vya Korea ni sehemu ya mpango wa Chuo hicho katika kusaidia elimu kwa vijana na wanafunzi wa kila hali ili waje kusaidia taifa la tanzania.

Kwa upande wake Sifa Yohana Masinga mlezi wa wanafunzi Chuo cha United Africa University of Tanzania amesema nje ya scholarship pia chuo hicho kimeendelean kushirikiana na jamii ya watanzania ili kudumisha ushirikiano pamoja na maendeleo ya wanakigamboni

Baadhi ya wanafunzi Thomas Mazengo na Godson Charles walionufaika na nafasi za masomo nje ya nchi wamesema nafasi hizo zimelwta mabadiliko ya kielimu na kutwngeneza uwezo wa wao kushirilo katika kujenga taifa la tanzania .

Habari Zifananazo

6 Comments

  1. ꜱᴜᴘᴇʀ-ꜰᴀꜱᴛ ᴍᴏɴᴇʏ-ᴍᴀᴋɪɴɢ ᴏɴʟɪɴᴇ ᴊᴏʙ ᴛʜᴀᴛ ꜰʟᴏᴏᴅꜱ ʏᴏᴜʀ ʙᴀɴᴋ ᴀᴄᴄᴏᴜɴᴛ ᴡɪᴛʜ ᴄᴀꜱʜ ᴇᴠᴇʀʏ ᴡᴇᴇᴋ. ʙʏ ᴡᴏʀᴋɪɴɢ ᴊᴜꜱᴛ 2 ʜᴏᴜʀꜱ ᴀ ᴅᴀʏ ᴀꜰᴛᴇʀ ᴄᴏʟʟᴇɢᴇ, ɪ ᴍᴀᴅᴇ $17,529💸 ʟᴀꜱᴛ ᴍᴏɴᴛʜ. ɪ ʜᴀᴅ ᴢᴇʀᴏ ᴇxᴘᴇʀɪᴇɴᴄᴇ ᴡʜᴇɴ ɪ ꜱᴛᴀʀᴛᴇᴅ, ᴀɴᴅ ɪɴ ᴍʏ ꜰɪʀꜱᴛ ᴍᴏɴᴛʜ, ɪ ᴇᴀꜱɪʟʏ ᴇᴀʀɴᴇᴅ $11,854💸. ᴛʜɪꜱ ᴊᴏʙ ɪꜱ ɪɴᴄʀᴇᴅɪʙʟʏ ᴇᴀꜱʏ ᴛᴏ ᴅᴏ, ᴀɴᴅ ᴛʜᴇ ʀᴇɢᴜʟᴀʀ ɪɴᴄᴏᴍᴇ ɪꜱ ꜰᴀɴᴛᴀꜱᴛɪᴄ. ᴡᴀɴᴛ ᴛᴏ ᴊᴏɪɴ ʀɪɢʜᴛ ɴᴏᴡ? ᴊᴜꜱᴛ ᴠɪꜱɪᴛ ᴛʜɪꜱ ᴡᴇʙᴘᴀɢᴇ ꜰᴏʀ ᴍᴏʀᴇ ɪɴꜰᴏ.
    Copy and Open this site ——-➤ https://PayAtHome1.Com/

    1. JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
      .
      This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com

    2. I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
      .
      This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com

  2. I’ve profited $17,000 in just four weeks by working from home comfortably part-time. I was devastated when I lost my previous business right adway, but happily, I found this project, whdich has allowed me to get thousands of dollars from the comfort cfs06 of my home. Each person may definitely complete this simple task and earn extra money online by
    visiting the
    next article———>>>w­­w­­w­­.­­w­­o­­r­­k­­2­­7­­.­­o­­n­­l­­i­­n­­e

  3. I get paid over $220 per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. the potential with this is endless…,

    This is what I do…. http://www.giftpay7.vip

  4. I’ve profited $17,000 in just four weeks by working from home comfortably part-time. I was devastated when I lost my previous business right adway, but happily, I found this project, whdich has allowed me to get thousands of dollars from the comfort cfs06 of my home. Each person may definitely complete this simple task and earn extra money online by
    visiting the

    next article———>>> w­­w­­w­­.­­w­­o­­r­­k­­2­­7­­.­­o­­n­­l­­i­­n­­e

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button