Wanafunzi 600 kupata elimu utengenezaji roboti

VIJANA na watoto wapatao 600 kutoka katika shule na vyuo mbalimbali mkoani Dar es Salaam, wanatarajiwa kunufaika na elimu kutoka kwa wataalamu wa Urusi ya namna roboti za kisasa zinavyotengenezwa na kutumika.

Hayo yalielezwa jana na mwanaanga kutoka nchini Urusi, Anton Shkaplerov wakati akizungumza na

waandishi wa habari katika nyumba ya kitamaduni ya Urusi mkoani Dar es Salaam na kusema ni nafasi nzuri kwa wanafunzi hao kujifunza kuhusiana na roboti na masuala ya anga.

“Ni vyema watoto na vijana wa Tanzania wakipata elimu hii mapema na kwa upande wa Urusi wanafunziwamekuwa wakijifunza masuala hayo kila wanapopata muda kwa kuwa ni kitu ambacho kina umuhimukwa dunia ya sasa,” alisema.

Mkutano wa utolewaji wa elimu hiyo unatarajiwa kufanyika kwa siku tatu kuanzia kesho hadi Jumatano Oktoba 25, mwaka huu katika nyuma ya utamaduni wa Urusi, Dar es Salaam ambapo mwanaanga huyo atashirikiana na vyuo mbalimbali kutoka Urusi.

Shkaplerov aliongeza kuwa jukwaa hilo litakuwa ni fursa kwa Watanzania kupata ufahamu wa namna ya kutumia teknolojia kujinufaisha.

Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya miradi ya Kimataifa kutoka Chuo Kikuu cha Southwest State ambacho ni moja ya chuo kinachoratibu mkutano huo alisema kuwa kupitia wanachokifanya katika baadhi ya nchi wanafunzi wameweza kubuni satelaiti ambazo wataweza kuwaonesha wanafunzi katika mkutano unaoanza kesho ili waweze kujifunza.

“Kuna mfano wa vyuo vya Ecuador ambapo walifanikiwa kubuni satelaiti tatu na zimeweza kwenda

angani, hivyo siku ya pili ya programu yetu tutawaonesha watakaohudhuria ili wajifunze kupitia walichofanya wengine,” alisema.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Wanafunzi 600 kupata elimu utengenezaji roboti
Wanafunzi 600 kupata elimu utengenezaji roboti
1 month ago

Wanafunzi 600 kupata elimu utengenezaji roboti

Capture.JPG
Daphine Vang
Daphine Vang

I am making over $30k a month working part time. I am a full time college student and just working for 3 to 4 hrs a day. Everybody must try this home online job now by just use this Following Website

More infor… http://Www.Smartwork1.Com

Last edited 1 month ago by Daphine Vang
Wanafunzi 600 kupata elimu utengenezaji roboti
Wanafunzi 600 kupata elimu utengenezaji roboti
1 month ago

Wanafunzi 600 kupata elimu utengenezaji roboti…

Capture.JPG
LynseyHarris
LynseyHarris
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by LynseyHarris
Marry
Marry
1 month ago

I’m currently generating over $35,100 a month thanks to one small internet job, therefore I really like your work! I am aware that with a beginning capital of $28,800, you are presently making a sizeable quantity of money online.
.
.
Just open the link——->> http://Www.Smartcareer1.com

Back to top button
5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x