Wananchi Arusha wahimizwa usafi

ARUSHA: WANANCHI na wafanyabiashara jijini Arusha wamesisitizwa kuimarisha usafi kwenye maeneo yao ili kujikinga na magonjwa mbalimbali.
Aidha, makandarasi waliopewa zabuni za kukusanya taka wameagizwa kuhakikisha magari yao yanakuwa safi ili kuondoa kero kwa wananchi na watumiaji barabara ambazo taka zinaanguka badala ya kupelekwa eneo husika.

Rai hiyo imetolewa na Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Ng’arisha jiji inayolenga kuhamasisha wananchi na wafanyabiashara kuhusu usafi wa mazingira akiwa eneo la Soko la Dampo Kata ya Sokoni One.
Amesema endapo wafanyabiashara na wananchi wakihasafisha mazingira magonjwa mbalimbali hayawezi kutokea hivyo suala la usafi si amri bali ni zoezi la kila siku katika kuhakikisha hata wateja wanapofika kununua bidhaa, kunakuwa pasafi.

“Zoezi la usafi si geni katika Jiji hili hivyo lazima tuhakikishe usafi unaimarishwa kila maeneo yetu na hili ni zoezi mtambuka na kusisitiza maendeleo yapo kwa wananchi na si ofisini hivyo hakikisheni mnaimarisha usafi kila siku katika maeneo yenu”




l Get paid over $110 per hour working from home. l never thought I’d be able to do it but my buddy makes over $21269 a month doing this and she convinced me to try. The possibility with this is endless….
This is what I do………………………………….. https://Www.Cash54.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com