Wanne wadakwa na vito vya mil 54/-

WATU wanne wamekamatwa na madini ya vito katika Mtaa wa Togo, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro.Watuhumiwa hao wamekamatwa katika operesheni iliyofanywa na Ofisi ya Ofisa Madini Mkazi Mahenge kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga na uongozi wa wilaya hiyo.
Ofisa Madini Mkazi Mahenge, Jonas Mwano amesema watuhumiwa hao walikamatwa baada ya taarifa za kiintelijensia kuonesha kulikuwa na biashara ya madini inayofanyika kinyume cha sheria katika makazi ya watu. Mwano amewaambia waandishi wa habari kuwa hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za serikali kuhakikisha rasilimali za madini zinalindwa na kunufaisha taifa kupitia mfumo rasmi wa masoko.
Watuhumiwa hao wamekamatwa na madini mbalimbali yakiwemo spineli, rodolaiti, tuarmalini na glasi ya vilkano. Madini hayo yalipatikana nyumbani kwa mmoja wao ambaye pia alikutwa akifanya usanifu wa madini bila kuwa na leseni ya usanifu wa madini kinyume cha Sheria ya Madini Sura 123.
Mwano amesema watuhumiwa walifikishwa katika Kituo cha Polisi Mahenge na kufunguliwa jalada la uchunguzi MHE/ IR/1189/2025 na madini yote yalifanyiwa uthamini kubaini uzito, aina, ubora na thamani yake.
Amesema madini hayo yana thamani ya Sh milioni 54.02 na serikali ilitarajia kukusanya zaidi ya Sh milioni 5.05 kupitia kodi na tozo za madini hayo. Mwano amesema shughuli za usanifu wa madini zinaruhusiwa kwa mtu mwenye leseni ya usanifu wa madini ambayo hulipiwa Sh 2,930,256 sawa na Dola za Marekani 1,200 kwa mwaka.
Amesema kukiuka matakwa hayo ni kwenda kinyume cha sheria na mfanyabiashara yeyote hatapewa nafasi kufanya shughuli hizo bila vibali. SOMA: Rukwa yawavutia wawekezaji kimataifa sekta ya madini




Google provides awesome remote work opportunities, allowing me to earn $2000-$3000 weekly with just 2-4 hours of daily work. It’s been a game-changer, offering flexibility and reliable income. If you’re seeking a genuine way to earn online, don’t miss this chance. Start today and transform your life!
.
More Details For Us →→ http://www.big.income9.com
Single Mom Reveals How She Earns $89k/Yr Working 10 Hrs/Week From Home. Tired of paycheck-to-paycheck living? Meet Kelly from New York—a regular mom who cracked the code to recession-proof income without selling a thing! Now,Big thanks …
.
Here is I started____________________ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com
Industrialization 56,565,656,000 available
https://www.bbc.com/swahili/I'medianuai/2012/11/121110_kisa_mkasa101112
Industrialization £56,565,656,000 available for job creation
https://www.bbc.com/swahili/medianuai/2012/11/121110_kisa_mkasa101112