Waziri Mkuu ateta na Dk Dugange bungeni

DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Dkt. Festo Dugange, wakati wa kikao cha kwanza cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, bungeni jijini Dodoma leo Oktoba 29. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)