Yanga kugumu Morocco

MOROCCO; UNAWEZA ukakubali ni kweli mpira wa miguu huwa kuna wakati unaendana na bahati.
Pengine ndivyo unavyoweza kusema baada mchezo wa AS FAR Rabat ya Morocco na Yanga ya Tanzania kumalizika kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa bao 1-0 mchezo uliofanyika Uwanja wa Olimpiki nchini Morocco na kumalizika muda mfupi uliopita.
Kutokana na matokeo hayo Wamorocco wamefikisha pointi nane na kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo na kuiacha Yanga ikiwa nafasi ya tatu kwa pointi tano. Kundi hilo B linaoongozwa na Al Ahly yenye pointi tisa.
Nafasi ya Yanga kufuzu robo fainali inatagemea matokeo ya mchezo wake wa mwisho dhidi ya JS Kabylie, Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar ikitakiwa ishinde huku ikiombea AS FAR Rabat ipoteze kwa Al Ahly halafu Yanga ishindane na AS FAR Rabat uwiano wa magoli ya kufunga na kufungwa, maana wote watakuwa na pointi nane.
Mchezo wa leo Yanga walipambana kwa nguvu na walipata nafasi kadhaa za kufunga, lakini walishindwa kuzitumia, kiasi kwamba kama nafasi hizo zingetumiwa vizuri, bila shaka matokeo yangekuwa tofauti.




I am making a real GOOD MONEY (80$ to 92$ / hr. )online from my laptopf. Last month I GOT a check of nearly 21,00f0$, this onlinfe work is simple and straightforward, I don’t have to go to the OFFICE. At that point this work opportunity is for you. If you are interested. Simply give it a shot on the accompanying site link…www.hot.cash54.com
I just came across this amazing way to earn $6,000-$8,000 a week online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
.
Follow Here ……………………… https://Www.Cash54.Com
I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com