Yanga tayari kashaweka huko!

MAURITANIA; NI mapumziko mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Al Hillal na Yanga unaochezwa nchini Mauritania na tayari Yanga iko mbele kwa bao 0-1, mfungaji akiwa Aziz Ki.