Yanga yanasa beki kutoka Asec

YANGA imekamilisha usajili wa beki wa kulia, Kouassi Attohoula kutoka Asec Mimosas kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Beki huyo (26) raia wa Ivory coast atakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button