BAADA ya kupoteza mchezo wa kwanza wa Kombe Kuu Kimataifa la Mpumalanga dhidi ya Augsburg, klabu ya Yanga leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TS Galaxy ya Afrika Kusini.
Bao la Yanga limeufungwa na Prince Dube katika dkika 55 wakati wa mechi ilifanyika uwanja wa Kanyamazane uliopo mji mdogo wa KaNyamazane katika jimbo la Mpumalanga.