Mtanzania angโ€™ara mbio za magari Rwanda

RWANDA; Dereva wa mbio za magari kutoka Tanzania, Ahmed Huwel, ameshika nafasi ya pili katika mashindano ya Rwanda Mountain Gorilla Rally, ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Afrika ya Mbio za Magari (African Rally Championship – ARC) yaliyofanyika nchini Rwanda mwishoni mwa wiki.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Rwanda, Huwel pia alivutia mashabiki kwa kuweka rekodi ya kuruka kwa umbali mkubwa kuliko madereva wengi walioshiriki kmashindano hayo, akionesha uwezo mkubwa wa kuendesha katika njia zenye changamoto.

Ushindi huo unaendelea kuthibitisha ubora wa dereva huyo katika mbio za kimataifa za magari.

#HabarileoUPDATES

Habari Zifananazo

One Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button