Year: 2025

Tanzania

FCT yatoa mafunzo kwa wadau Mbeya

MBEYA; Baraza la Ushindani (FCT) limefanya semina ya elimu kwa wadau kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu majukumu, mamlaka na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Makamba bingwa mashindano Ujirani Mwema Burundi

BURUNGA, Burundi: TIMU ya Kombaini ya Wilaya Makamba mkoa Burunga nchini Burundi imeibuka kuwa mabingwa wa mashindano ya Ujirani Mwema…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Serikali yaagiza tathmini mpya ujenzi uwanja wa mpira Geita

SERIKALI mkoani Geita imeelekeza tathimini mpya ifanyike kufanikisha ukamilishaji wa uwanja wa mpira wa miguu katika Manispaa ya Geita ambao…

Soma Zaidi »
Kanda

Dk Mwigulu akagua maendeleo ujenzi madaraja Lindi

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amekagua maendeleo ya ujenzi wa madaraja na ukarabati wa barabara kuu ya Marendego-Nangurukuru-Lindi-Mingoyo. Akizungumza baada…

Soma Zaidi »
Africa

Diageo yauza hisa zote EABL kwa Asahi Group

Nairobi, Kenya: Kampuni ya East African Breweries PLC (EABL) imetangaza kuwa kampuni ya Diageo imekubali kuuza hisa zake zote za…

Soma Zaidi »
Tanzania

NBS–USANGU yazijengea uwezo kamati za vijiji kutatua malamiko

IRINGA: Mradi wa NBS–USANGU umeendesha mafunzo ya siku tano kwa Kamati za Kushughulikia Malalamiko za Vijiji katika maeneo ya utekelezaji…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Diplomasia ya uchumi kuitangaza Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar ina fursa nyingi za kiuchumi,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kundo ataka tathmini vyanzo vya maji

NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew amezitaka Bodi za Mabonde ya Maji nchini kufanya tathmini ya kina ya vyanzo…

Soma Zaidi »
Picha

TSN yapewa tuzo mkutano Wataalamu Ununuzi na Ugavi

Naibu Waziri wa Fedha, Mshamu Munde akikabidhi tuzo maalumu kwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya…

Soma Zaidi »
Featured

TSN yachomoza Mkutano Wataalamu Ununuzi na Ugavi

ARUSHA; MKURUGENZI Idara ya Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Soter Salema amesema kampuni hiyo inajivunia…

Soma Zaidi »
Back to top button