Year: 2025

Jamii

Mahakama Kuu yatupa maombi ya Lissu

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam Masijala ndogo imetupa maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na…

Soma Zaidi »
Featured

25 wahofiwa kufukiwa machimbo ya dhahabu

WATU 25 wanahofiwa kufukiwa kwenye mashimo waliyokuwa wakichimba dhahabu kwenye mgodi wa Nyandolwa katika Kijiji cha Mwongozo Kata ya Mwenge Halmashauri ya Wilaya…

Soma Zaidi »
Featured

CCM yakusanya 86.31bn/- siku ya kwanza ya harambee

DAR ES SALAAM — Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekusanya zaidi ya Sh bilioni 86.31 katika siku ya kwanza ya kampeni…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia achangia 100m/- Harambee ya CCM

DAR ES SALAAM — Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Handeni Mji yaalika awekezaji kuwekeza mradi wa kuchakata mawe

TANGA: HALMASHAURI ya Mji Handeni, mkoani Tanga, imetoa wito kwa wawekezaji kujitokeza kuwekeza katika mradi wa kuchakata mawe na kokoto…

Soma Zaidi »
Asia

Daktari jela miaka 15 kumdhalilisha mgonjwa

SRI LANKA : MAHAKAMA Kuu ya Anuradhapura, Sri Lanka, imemkuta na hatia daktari mwenye umri wa miaka 70 kwa kosa…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Wanahabari Mtwara wakumbushwa maadili uchanguzi

MTWARA: KUELEKEA Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, waandishi wa habari mkoani Mtwara wametakiwa kuandika na kuripoti habari kwa kuzingatia…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mgombea urais Colombia afariki dunia

BOGOTA, COLOMBIA : MGOMBEA Urais wa Colombia, Miguel Uribe, amefariki dunia usiku wa kuamkia Jumanne, miezi miwili baada ya kushambuliwa…

Soma Zaidi »
Africa

Rwanda yapinga tuhuma za kuisaidia M23

RWANDA : SERIKALI ya Rwanda imetupilia mbali tuhuma za Umoja wa Mataifa kwamba jeshi lake limekuwa likiunga mkono waasi wa…

Soma Zaidi »
Africa

Wanamgambo RSF waua 40 Darfur

DARFUR : WATU 40 wameuawa na wengine 19 kujeruhiwa baada ya wanamgambo wa Kikosi cha Usaidizi wa Haraka (RSF) kushambulia…

Soma Zaidi »
Back to top button