Year: 2025

Tanzania

‘Kwaheri Ndugai’

DODOMA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika maziko ya Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania,…

Soma Zaidi »
Jamii

Wanafunzi Benhubert watembelea Hifadhi ya Mikumi

MOROGORO; WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Benhubert ya Kivule, Dar es Salaam, wakiwa kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliyopo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ofisi ya msajili wa hazina yaandaa CEO Forum 2025

DAR-ES-SA;AAM : OFISI ya Msajili wa Hazina imeandaa kikao kazi maalum ‘CEO Forum 2025’ kitakachowaleta pamoja Wenyeviti wa Bodi na…

Soma Zaidi »
Featured

CCM kuendesha harambee kusaidia kampeni

DAR ES SALAAM; CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kitaendesha harambee maalumu kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia kampeni za chama hicho…

Soma Zaidi »
Jamii

Jaji Masaju asema Ndugai alipenda haki

JAJI Mkuu wa Tanzania, George Masaju amesema Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai alipenda haki. Jaji Masaju alisema…

Soma Zaidi »
Jamii

Dk Tulia amlilia Ndugai, ataka viongozi waache alama

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson ametoa mwito kwa viongozi watumie mamlaka waliyopewa kuacha…

Soma Zaidi »
Bunge

Majaliwa akiri Ndugai amemsaidia majukumu bungeni

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai alikuwa msaada mkubwa katika utekelezaji wa majukumu…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mpango: Ndugai ameacha somo familia duni si kikwazo uongozi

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameacha somo kwa jamii kuwa…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mamia wamuaga Ndugai

MAMIA ya waombolezaji wameuaga mwili wa Mbunge wa Kongwa na Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai (62) jijini Dodoma…

Soma Zaidi »
Dodoma

Samia amsifu Ndugai umahiri, ukomavu

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Spika wa Bunge mstaafu, Job Ndugai alikuwa kiongozi mahiri. Rais Samia alisema hayo wakati wa…

Soma Zaidi »
Back to top button