Year: 2025

Afya

‘Uzazi wa mpango utafanikisha utekelezaji Dira 2050’

WATANZANIA wametakiwa kujiunga na huduma za uzazi wa mpango ili kuiwezesha nchi kutekeleza kwa ufanisi malengo mahususi yaliyoainishwa katika Dira…

Soma Zaidi »
Utalii

Matogoro; Hifadhi ya msitu asilia  iliyobeba fahari ya utalii

RUVUMA; HIFADHI ya Msitu wa Matogoro iko Kusini Mashariki mwa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, takribani kilometa 15 kutoka Songea…

Soma Zaidi »
Afya

Wamiliki famasi zingatieni weledi kulinda afya za wananchi

MAMLAKA ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) imeonya wamiliki wa maduka ya dawa muhimu kuacha uuzaji wa dawa ambazo haziruhusiwi kwa…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM masikio Kamati Kuu leo uteuzi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kinatarajiwa kuteua wanachama wa chama hicho walioomba kugombea ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi…

Soma Zaidi »
Infographics

Jiwe la Litembo, mto uliogeuka damu na historia ya Wamatengo 

RUVUMA; Ni majira ya mchana wa saa saba, mimi na timu yangu tunapoingia katika Kijiji cha Litembo, Kata ya Litembo…

Soma Zaidi »
Afya

Hospitali ya Benjamin Mkapa kusogeza huduma

DODOMA : HOSPITALI ya Benjamin Mkapa ina mpango wa kuanzisha kliniki ya mjini lengo ni kusogeza huduma kwa wananchi katikati…

Soma Zaidi »
Featured

Dar inasukwa!

DAR ES SALAAM; Ujenzi wa daraja la Mkwajuni Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam ukiendelea ikiwa ni sehemu ya…

Soma Zaidi »
Afya

Tubadili mtindo wa maisha kuzuia vifo

DODOMA : SERIKALI imesema asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika kama Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha.

Soma Zaidi »
Biashara

NMB yatoa mil 100 maandalizi nanenane

BENKI ya NMB imeikabidhi Wizara ya Kilimo Sh milioni 100 kusaidia maandalizi ya Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM yahimiza mshikamano vyama vya ukombozi

GAUTENG : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ni muhimu kukuza ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika.

Soma Zaidi »
Back to top button