Year: 2025

Afya

Madeni MSD yalipwe – RC Mwassa

KAGERA:  VITUO Vya kutolea huduma za afya vimetakiwa kuhakikisha vinalipa madeni wanayodaiwa na Bohari ya Dawa (MSD) kabla ya mwaka…

Soma Zaidi »
Bunge

Ulinzi waimarishwa bungeni

DODOMA : Serikali imeongeza hatua za kiusalama na kuimarisha ulinzi katika maeneo muhimu ya Bunge, barabara kuu wakati Rais Samia…

Soma Zaidi »
Afya

Huduma za kibingwa kutolewa Sabasaba

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesema itafanya kliniki maalum ya huduma za kibingwa…

Soma Zaidi »
Dodoma

SBL yakabidhi mradi wa maji Kondoa utakaonufaisha wakazi 14,000

KONDOA, DODOMA: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kwa kushirikiana na shirika la Africa Community Advancement Initiative (Africai), imekamilisha na kuzindua…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Biteko mgeni rasmi Nishati Bonanza

DODOMA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Bonanza la Wizara ya…

Soma Zaidi »
Gesi

Uchimbaji visima 3 vipya vya gesi Mtwara kuanza Novemba

MTWARA: Visima vitatu vya gesi asilia vinatarajiwa kuchimbwa katika Kitalu cha Mnazi Bay kilichopo Mkoani Mtwara, ikiwa ni miaka kumi…

Soma Zaidi »
Siasa

Je, Ahmed Asas atavunja ukimya ubunge Iringa Mjini?

IRINGA: Joto la kisiasa limepanda Iringa Mjini huku macho na masikio ya wananchi yakielekezwa kwa mfanyabiashara maarufu na mdau wa…

Soma Zaidi »
Siasa

Myenzi atangaza nia ya ubunge Kilolo

IRINGA: ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, Comrade Kilian Edson Myenzi, ametangaza nia ya kugombea ubunge…

Soma Zaidi »
Jamii

Watakaobainika kutumikisha watoto sheria isiwaonee huruma

HIVI karibuni serikali ilitoa takwimu zikionesha utumikishwaji wa watoto umepungua kutoka asilimia 29 mwaka 2014 hadi asilimia 24.9 mwaka 2021.…

Soma Zaidi »
Featured

CCM yazuia wapambe, misafara uchukuaji fomu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepiga marufuku kwa mwanachama yeyote anayeomba kugombea uongozi kualika kundi la wapambe kumsindikiza kwenda ofisi za…

Soma Zaidi »
Back to top button