Year: 2025

Utalii

Wadau wa utalii wahamasishwa kuwania tuzo za Serengeti

WADAU wa uhifadhi na utalii katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wamehamasishwa kushiriki katika tuzo za uhifadhi na utalii…

Soma Zaidi »
Diplomasia

TSN, Xinhua kuimarisha ushirikiano

KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN) imesema itaimarisha ushirikiano na Shirika la Habari la Xinhua la China. Mkurugenzi Mtendaji wa…

Soma Zaidi »
Tahariri

Nchi EAC ziondokane vikwazo vya kibiashara

MAONESHO ya 25 ya Biashara Ndogondogo na za Kati (MSMEs) yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Jiji la Nairobi nchini Kenya…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

“ng’ombe wa maziwa” Meaning (Maana)Ng’ombe wa maziwa means “dairy cow” in English.Hii ni aina ya ng’ombe wanaofugwa kwa ajili ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

NBS, OCGS zawasilisha ripoti tisa za sensa kwa wadau

MTAKWIMU Mkuu wa Serikali, Dk Amina Msengwa amesema mkakati wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Ofisi ya Mtakwimu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yaita wadau kuchangia nishati safi

SERIKALI imeomba wadau wa maendeleo waendelee kuchangia upatikanaji wa nishati safi ya kupikia nchini. Naibu Katibu Mkuu (Mazingira), Ofisi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania yanufaika mradi wa bil 159/- sekta ya bahari

SERIKALI kupitia Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) imenufaika na mradi wa uchumi wa buluu na kituo cha mafunzo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Adaiwa kujiteka kisa kukosa huduma

JESHI la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kutengeneza taarifa ya uongo kuhusu kutekwa kwa mwanamke aitwaye…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Dk Nchimbi ahimiza amani Maziwa Makuu

SERIKALI ya Tanzania imesema amani na usalama ni muhimu kwa maendeleo ya ukanda wa maziwa makuu. Makamu wa Rais, Dk…

Soma Zaidi »
Infographics

Samia ataka nidhamu kidato cha 4

RAIS Samia Suluhu Hassan amewatakia heri wanafunzi 595,816 wa kidato cha nne waliotarajiwa kuanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari…

Soma Zaidi »
Back to top button