Year: 2026

Tanzania

Wapotoshaji habari mitandaoni sasa kukiona

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Protabas Katambi amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi (IJP), Camillus Wambura kuchukua hatua kali…

Soma Zaidi »
Jamii

Auawa akitaka kumshambulia paroko

MKAZI wa Kijiji cha Kagunguli wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, Renatus Silivester ameuawa na wananchi baada ya kuingia ghafla katika Kanisa…

Soma Zaidi »
Dini

Pasaka inawakumbusha kuishi kwa upendo

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa pasaka ni kipindi muhimu kinachowakumbusha Watanzania kuishi kwa upendo, mshikamano na kudumisha amani…

Soma Zaidi »
Biashara

Latra kuanza kupokea maoni ya nauli kesho

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kesho itaanza mchakato wa kupokea maoni ya wadau kuhusu uwezekano wa kufanya mapitio ya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Vyombo vya ulinzi vyatajwa nguzo muhimu ya amani nchini

NAFASI ya vyombo vya ulinzi na usalama inaendelea kuwa mhimili muhimu katika kulinda amani na utulivu wa muda mrefu nchini.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania haijajibu malalamiko ya Ulaya kuhusu uteuzi wa ICC

DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania bado haijatoa kauli ya wazi kufuatia ukosoaji unaoibuka kutoka baadhi ya duru za kisheria…

Soma Zaidi »
Dini

Viongozi wa dini wataka umoja, upendo, maadili, wakemea uovu

VIONGOZI wa dini yaKikristo wamewataka waumini wa dini hiyo na Watanzania kuenzi umoja na kuendelea kushikamana katika upendo na kutumia…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Serengeti Girls inalitaka Kombe la Dunia

MONASTIR: TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls), imemaliza kambi yake ya…

Soma Zaidi »
Wanawake

Mbunge ataka umoja, mshikamano wanawake

DAR ES SALAAM: MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Amina  Said amewataka wanawake wa Umoja wa Wanawake…

Soma Zaidi »
Utalii

Ngorongoro kuwa darasa la waongoza watalii

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema msimu wa 11 wa mashindano ya waongoza watalii ya Safari…

Soma Zaidi »
Back to top button