Year: 2026

Siasa

CCM Kigoma yataka hatua miradi iliyokwama

KIGOMA; Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Kigoma, imeitaka serikali ya Mkoa Kigoma kuchukua hatua kwa Halmashauri…

Soma Zaidi »
Featured

Waziri Makonda kunguruma Dar kesho

DAR ES SALAAM; Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda kesho Septemba 24, 2026 anatarajiwa kuzungumza na waandishi…

Soma Zaidi »
Featured

HESLB yajivunia ongezeko bajeti mikopo elimu ya juu

MWANZA; Serikali imeongeza bajeti ya mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa elimu ya juu hadi Sh 1.06 trilioni kwa mwaka…

Soma Zaidi »
Featured

Familia: Hatukukaidi agizo la RC Dar

DAR ES SALAAM: Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuagiza wanafamilia wa David Mushi wakamatwe…

Soma Zaidi »
Featured

Mambo yameiva Tanzania Fashion Festival

DAR ES SALAAM:  Jukwaa la ubunifu wa mavazi nchini maarufu kama Tanzania Fashion Festival, msimu wa saba litafanyika Septemba 26,…

Soma Zaidi »
Biashara

Verto, Visa wapania kuongeza ufanisi malipo kimataifa

DAR ES SALAAM; Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya fedha, Verto, kwa kushirikiana na Visa, imezindua kadi maalumu ya biashara inayojumuisha…

Soma Zaidi »
Infographics

Usafirishaji waingiza Dola milioni 2.7, mwaka 2025

ARUSHA; SEKTA ya usafirishaji nchini imezalisha Dola za Marekani bilioni 2.7 mwaka 2025, sawa na asilimia 15.6 ya mauzo ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania, Italia zaimarisha ushirikiano kimahakama

DAR ES SALAAM: Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA), kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Sant’Anna School of Advanced…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwigulu: Wanawake wakulima kiungo muhimu Afya Moja

ITALIA: Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji muhimu katika utekelezaji wa dhana ya Afya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Miili ya askari watano yaagawa Singida

SINGIDA: Miili ya askari watano wa Jeshi la Polisi Tanzania waliofariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Septemba 21, 2026,…

Soma Zaidi »
Back to top button