Year: 2026

Tanzania

Rukwa kuunganishwa Gridi ya Taifa kupitia TAZA

IRINGA: Wananchi wa Mkoa wa Rukwa wanatarajiwa kuanza kunufaika na huduma ya umeme wa uhakika baada ya kukamilika kwa Mradi…

Soma Zaidi »
Tanzania

JNIA, KIA zang’ara tuzo za ACI AFRICA Nigeria

ABUJA: VIWANJA vya Ndege vya Kimataifa vya Julius Nyerere (JNIA) na Kilimanjaro (KIA) vimeipa Tanzania heshima katika sekta ya usafiri…

Soma Zaidi »
Featured

DC Kilosa afanya ziara kusikiliza kero, kutatua migogoro

MOROGORO; Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka, akiwa ameambatana na  Kamati ya Usalama Wilaya, amefanya ziara ya kusikiliza…

Soma Zaidi »
Siasa

Rabia: Rais Samia anataka viongozi wawajibikaji

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid,…

Soma Zaidi »
Biashara

Wizara ya Nishati yatwaa Tuzo Utendaji MEL 2026

ARUSHA; Wizara ya Nishati imeibuka kinara kwa kutwaa Tuzo ya Wizara Bora kwa Utendaji (Best Performing Ministry Award) katika eneo…

Soma Zaidi »
Featured

Mizigo yawaweka matatani madereva bajaji 72 Mwanza

MWANZA; Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limekamata madereva 72 wa bajaji pamoja na vyombo vyao vya usafiri kwa kosa…

Soma Zaidi »
Infographics

Dk Gwajima: Wanawake tutafute elimu tujenge uchumi

DODOMA: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima, amewataka wanawake kutafuta elimu na kujiimarisha…

Soma Zaidi »
Jamii

Waajiri wapewa somo kuboresha mifumo ya taarifa

MWANZA; Waajiri wametakiwa kuhakikisha wanaweka mifumo madhubuti ya kuzuia na kushughulikia udhalilishaji, unyonyaji na ukatili wa kingono katika maeneo ya…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM Kigoma yataka hatua miradi iliyokwama

KIGOMA; Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Kigoma, imeitaka serikali ya Mkoa Kigoma kuchukua hatua kwa Halmashauri…

Soma Zaidi »
Featured

Waziri Makonda kunguruma Dar kesho

DAR ES SALAAM; Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda kesho Septemba 24, 2026 anatarajiwa kuzungumza na waandishi…

Soma Zaidi »
Back to top button