Rais Samia afanya mazungumzo na balozi Singapore

DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Douglas Foo, leo Februari 27, 2026 Ikulu, jijini Dar es Salaam.
 
Pamoja na mambo mengine mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano baina nchi hizi mbili haswa katika masuala ya teknolojia,elimu, afya na miundombinu.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button