Tanzania yajipanga kuongeza ushiriki FEASSSA

ARUSHA: Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Yusuph Singo amewaelekeza maofisa michezo nchi kuhakikisha ushiriki katika mashindano ya FEASSSA 2026 unaongeza idadi ya washiriki tofauti na awali.
Mashindano ya vyama vya Michezo kwa Shule za Msingi na Sekondari kwa nchi za Afrika Mashariki (FEASSSA) yanatarajiwa kufanyika mkoani Morongoro kuanzia Agosti 12 hadi 23 mkoani Morogoro.

Singo akizungumza katika Mutano wa Maafisa Maendeleo ya Michezo (TASOA) uliofanyika jijini Arusha amesema kuelekea mashindano hayo aliwataka maafisa hao kuhakikisha kwamba ushiriki waTanzania ikiwa ni mwenyeji katika wa michezo ya FEASSSA ya mwaka huu mkoani Morogoro unaongeza idadi ya washiriki .
“Changamoto tuliyonayo maafisa michezo ni lazima kuhakikisha tunaleta watu wengi Morogoro tunawaletaje lazima tukae tuweke mikakati, wenzetu Kenya wametuambia wanakuja na wanafunzi 2600 sisi mara ya mwisho Feasssa Arusha tulikuwa na wanafunzi 600, Kenya mwaka jana tulienda 613 mara nyingi Uganda na Kenya wanakimbizana inamaana Uganda nao 2000,”

Alifafanua kuwa kama wenyeji badala ya washiriki 2600 tunalenga angalau 1200 hivyo hiyo ni kazi kubwa kama wasimamizi katika kusaidia kufanya hamasa katika maeneo yao ikiwa ni pamoja na kufanya utambuzi wa shule binafsi zilizo na utayari ambazo kushiriki kwa baadhi ya michezo ili kuwa na ushiriki mkubwa kama malengo yaliyopo.
“Maandalizi ya FEASSSA yanaendelea na tayari kikao cha kwanza cha ukaguzi kimefanyika wenzetu wa sekretarieti ya wamekuja Morogoro,wametembelea maeneo yote ambayo tutayatumia na wameridhika kwa asilimia 99.9 na nawashukuru mkoa mwenyeji kwa kuwa na utayari mzuri,viwanja sehemu za kulala na mengine ambapo imeonyesha tuko imara na baadhi ya shule zimeonyesha utayari mkubwa,’’amesema Singo.

Aidha katika hatua ingine kuhusu mashindano ya Umisseta na Umitashumta amesema safari hii michezo imeongezeka ikiwemo riadha mita 5000 kwenye umiseta kwa wavulana ambayo haikuwepo,pia wasichana mita 3000 kwa shule za msingi zitaanzishwa, vilevile mbio za nyika, Chess, pia upande wa utamaduni, uchekeshaji, uchoraji, mdako, mishale na kusema tayari barua zimewafikia na watu wa kufanya mageuzi hayo ni maofisa michezo.




JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com
I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
.
This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com
Thanks very nice blog!
Feel free to visit my website – best anal porn site
Hey this is somewhat of off topic but I was wanting
to know if blogs use WYSIWYG editors or if you have to manually code with HTML.
I’m starting a blog soon but have no coding expertise so I wanted to get advice
from someone with experience. Any help would be
enormously appreciated!
my web-site lesbian porn videos
Porno kijken op een veilige manier door te kiezen voor
geverifieerde adult websites. Kies voor gegarandeerde
bronnen voor discreet vermaak.
Feel free to visit my webpage; best free porn videos