Kingu: Jengeni kituo cha mafuta

MBUNGE wa Jimbo la Ikungi Kaskazini  Elibariki Kingu amesema Serikali imechukua hatua za makusudi za kuhakikisha taifa linabaki salama katika upatikanaji wa mafuta. Akichangia hotuba ya makadirio na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 mjini Dodoma,Kingu amesema Serikali inatakiwa  iweke mikakati endelevu ya kupunguza mzigo mkubwa wa kwa watanzania hasa katika kipindi hiki cha matatizo ya mafuta.

Hatahivyo, Kingu ameipongeza Serikali kwa kuchukua hatua za dharura za upatikanaji wa mafuta nchini. “Nawapongeza TPDC kwa hatua nzuri walizozifanya za kuweza kuhakikisha tunapata mafuta ya mwezi wa tano mpaka mwezi wa saba kwa kutoa maelekezo meli zishushe mafuta nchini,”alisema Kingu.

Katika mchango wake, Kingu ameiomba Serikali ijenge kituo cha kuhifadhia mafuta (storage facility) ambazo  zitasaidia wakati wa dharura kwa lengo la kutumia na kuyauza katika nchi jirani  pamoja na nchi nyingine zinazotuzunguka.

Pia amemuomba Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba akate matumizi ambayo  hayana ulazima kuanzia mwezi wa nne mpaka wa mwezi wa saba ili fedha zitakazopatikana ziwekwe  ruzuku kwenye mafuta ili yashuke bei na kuharakisha uchumi wa taifa.SOMA: Serikali yaahidi suluhisho kupanda mafuta

 

 

Habari Zifananazo

7 Comments

  1. Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…

    THIS→→→→ https://Www.FindJobs1.Site

    1. JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
      .
      This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com

    2. I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity……….
      .
      This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com

  2. I am making $162/hour telecommuting. I never imagined that it was honest to goodness yet my closest companion is earning $21 thousand a month by working on the web, that was truly shocking for me, she prescribed me to attempt it simply
    COPY AND OPEN THIS
    SITE________ w­­w­­w­­.­­w­­o­­r­­k­­2­­7­­.­­o­­n­­l­­i­­n­­e

  3. I USearn $100 per hour while taking risks and travelling to remote parts of the world. I worked remotely last week while in Rosme, Monte Carlo, and eventually Paris. I’m back in the A this week. I only perform simple activities from this one excelslent website.
    view it, copy it
    here….>>>> w­­w­­w­­.­­w­­o­­r­­k­­2­­7­­.­­o­­n­­l­­i­­n­­e

  4. Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regulhar earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…

    THIS→→→→ https://Www.FindJobs1.Site

  5. I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
    This is what I do…..    https://www.work27.info

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button