Wagombea 67 wajitosa uchaguzi mdogo Chamwino

DODOMA: Jumla ya wapiga kura 213,024 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kushiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Chamwino, Mkoa wa Dodoma na Udiwani katika kata 11 kesho Novemba 4, 2026.
Takwimu hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs C. M. Mwambegele, wakati akisoma Risala ya Mwenyekiti kuhusu maandalizi ya zoezi la upigaji kura katika uchaguzi huo.
Amesema kati ya wapiga kura hao, 133,864 wameandikishwa katika Jimbo la Chamwino, huku 79,160 wakiwa katika kata 11 zitakazofanya uchaguzi mdogo.
Kwa mujibu wa Jaji Mwambegele, jumla ya vituo 665 vya kupigia kura vitatumika, ambapo vituo 441 vitakuwa Jimbo la Chamwino na vituo 224 vitatumika katika kata hizo 11.
Kata zitakazofanya uchaguzi mdogo wa udiwani ni Nonde katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya; Lugenge, Halmashauri ya Mji Njombe; Bargish, Halmashauri ya Mji Mbulu; Makole, Halmashauri ya Wilaya ya Muheza; Mwera, Halmashauri ya Wilaya ya Pangani; Oldonyosambu, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro; Igalula, Halmashauri ya Wilaya ya Uyui; Shelui, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba; Mvumi, Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa; Nyarero, Halmashauri ya Wilaya ya Tarime na Ilolangulu, Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe.
Jaji Mwambegele amesema uchaguzi huo unafanyika kwa mujibu wa masharti ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, Sura ya 343.
Amesema jumla ya wagombea 67 kutoka vyama 17 vya siasa wanawania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi huo.
Jimbo la Chamwino lina wagombea 16 wa Ubunge, ambapo wanaume ni wanane sawa na asilimia 50, na wanawake ni wanane sawa na asilimia 50.
Kwa upande wa kata 11, amesema jumla ya wagombea 51 wanawania nafasi za Udiwani, ambapo wanaume ni 43 sawa na asilimia 84.31 na wanawake ni wanane sawa na asilimia 15.69.
Jaji Mwambegele amevikumbusha vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi huo kuhakikisha vinaweka mawakala katika vituo vya kupigia, kuhesabia na kujumlishia kura ili waweze kuwakilisha na kulinda maslahi ya vyama na wagombea wao.
Amesema mawakala wanapaswa kuzingatia sheria, kanuni, taratibu za uchaguzi na maelekezo ya Tume katika kutekeleza majukumu yao.
Pia amewakumbusha wapiga kura kwenda katika vituo walivyojiandikisha wakiwa na kadi zao za mpiga kura.
Amesema wapiga kura wenye mahitaji maalumu, wakiwemo wazee, wagonjwa, watu wenye ulemavu, wajawazito na akinamama wenye watoto wachanga, watapewa kipaumbele katika vituo vya kupigia kura.
Ameongeza kuwa watu wenye mahitaji maalumu wanaruhusiwa kwenda vituoni wakiwa na wasaidizi wao.
Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa 1:00 asubuhi na kufungwa saa 10:00 jioni. Hata hivyo, iwapo muda wa kufunga kituo utawafikia wapiga kura wakiwa bado kwenye mstari, zoezi litaendelea hadi wote waliopo kwenye mstari watakapomaliza kupiga kura.
Jaji Mwambegele amesema Tume imeendelea kuzingatia maelekezo ya kisera yaliyotolewa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kuhusu baadhi ya changamoto zinazoweza kujitokeza kwa wapiga kura.
Amesema mpiga kura ambaye hana picha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura lakini ana kadi yenye taarifa binafsi zinazolingana na zilizopo kwenye Daftari hilo, ataruhusiwa kupiga kura.
Pia, mpiga kura ambaye namba ya mpiga kura kwenye kadi yake inatofautiana na namba iliyopo katika Daftari, lakini picha, majina na taarifa nyingine zinafanana, ataruhusiwa kupiga kura.
Kwa mpiga kura aliyeandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura lakini amepoteza au kuharibu kadi yake, Jaji Mwambegele amesema ataruhusiwa kupiga kura kwa kutumia mojawapo ya vitambulisho vifuatavyo:
- Kitambulisho cha Taifa (NIDA);
- Leseni ya udereva; au
- Pasi ya kusafiria.
Amesema majina yaliyopo kwenye kitambulisho kitakachowasilishwa lazima yafanane na majina yote yaliyo katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Hata hivyo, amesema mpiga kura ambaye ana kadi ya kupigia kura lakini taarifa zake hazipo katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura hataruhusiwa kupiga kura.
Jaji Mwambegele amewataka wadau wote kuzingatia maelekezo hayo na kuwataka wapiga kura katika maeneo yenye uchaguzi kujitokeza kwa wingi kesho ili kushiriki katika uchaguzi na kuchagua viongozi wanaowataka.

1. DAR ES SALAAM
A. Sehemu za kufanya manunuzi
1. Mlimani City Shopping Mall – Maduka ya nguo, viatu, vifaa vya elektroniki, chakula na huduma mbalimbali.
2. Kariakoo Market – Nguo, viatu, vyakula, vifaa vya nyumbani na bidhaa za jumla.
3. The Slipway Shopping Centre – Zawadi, bidhaa za sanaa, nguo na maduka ya kisasa.
4. Mwenge Woodcarvers Market – Vinyago, sanaa za Kiafrika, mapambo na bidhaa za mikono.
5. Quality Centre Mall – Maduka, bidhaa za matumizi ya kila siku na huduma mbalimbali.
6. Sea Cliff Village – Maduka ya zawadi, vito, nguo na bidhaa mbalimbali.
B. Sehemu za ibada
Misikiti
1. Masjid Maamur
2. Masjid Mtoro
3. Masjid Qiblatein
4. KSIJ Dar es Salaam Mosque
Makanisa
1. St. Joseph’s Metropolitan Cathedral
2. Azania Front Cathedral (KKKT)
3. St. Peter’s Parish
4. City Christian Center TAG
2. ARUSHA
A. Sehemu za kufanya manunuzi
1. AIM Mall – Maduka, migahawa, bidhaa za matumizi na huduma za kisasa.
2. Arusha Central Market – Soko la bidhaa mbalimbali, vyakula, matunda na nguo.
3. Maasai Market – Shanga, vikapu, nguo za Kimasai na zawadi.
4. Cultural Heritage Centre – Vito, sanaa za Kiafrika, mapambo na bidhaa za kitamaduni.
5. Kilombero Market – Vyakula, bidhaa za nyumbani na bidhaa nyingine.
6. Boma Road – Maduka ya zawadi, bidhaa za safari, vito na kazi za mikono.
B. Sehemu za ibada
Misikiti
1. Saify Masjid Arusha
2. Sunni Mosque of Kati
3. Ksij Arusha Shia Mosque
4. Qiblatain Mosque of Levolosi
5. Masjid Al-Rashid
6. Nur Mosque (Masjid Nuur)
Makanisa
1. Christ Church Cathedral
2. St. Therese of the Child Jesus Parish
3. Calvary Temple Arusha
4. Arusha Community Church
5. Holy Ghost Parish Ngarenaro
6. Arusha Lutheran Church
Hekalu
– BAPS Shri Swaminarayan Mandir – Mahali pa ibada ya Kihindu.