Ten Hag: Jeraha la Lisandro baya sana

KOCHA wa Manchester United, Eric Ten Hag amesema jeraha la beki Lisandro Martinez ni baya hivyo huenda akawa nje ya uwanja kwa muda ambao hakuutaja.

Lisandro aliumia katika mchezo wa EPL dhidi ya West Ham uliopigwa jana uwanja wa Old Trafford ambapo United walishinda mabao 3-0.

“Mbaya sana kwake, tunamtakia kila la kheri”. “Ni mbaya sana pia kwa timu”,

“Tunasubiri vipimo lakini kwa kweli tuna huzuni. Inaonekana atalazimika kukaa nje kwa michezo kadhaa”.amesema Ten Hag

Habari Zifananazo

Back to top button