Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano hundi ya Shilingi milioni 63.8 kutoka Asasi ya Sekta Binafsi inayojishughulisha na kuendeleza sekta ya Horticultural Tanzania (TAHA) kwa ajili ya kuunga mkono shughuli za kilimo biashara kwenye hafla ya kufunga mafunzo ya Tamasha la Kizimkazi iliyofanyika katika uwanja wa Mwehe Makunduchi Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.